Jumatano, 9 Machi 2016

TUPASHANE HABARI NDANI YA MAGAZETI YA LEO,KARIBU MTEMBEAJI WA TUPASHANE HABARI RADIO.



TUPASHANE HABARI RADIO MAGAZETINI JUMATANO YA LEO HII KARIBU MTEMBEAJI

,

Tupashane Habari Radi katika habari zetu leo.MGODI WA BULYANHULU WAALIKA WANAWAKE KUJIONEA UCHIMBAJI MADINI YA DHAHABU CHINI YA ARDHI

Mfanyakazi wa mgodi wa kuchimba dhahabu wa Bulyanhulu, unaomilikiwa na kampuni ya Acacia, akiwa na baadhi ya akina mama sehemu ya uchimbaji chini ya ardhi (underground mining), wakati akina mama wa vijiji vinavyozunguka mgodi huo na wafanyakazi wa kike walipotembelea ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha siku ya wanawake Duniani, jana Machi 8, 2016. 

KATIKA kuadhimisha kilele  cha siku ya Wanawake Duniani jana Machi 8, 2016, akina mama wa vijiji vinavyozunguka mgodi wa dhahabu wa Bulyanhulu, unaomilikiwa na kampuni ya Acacia,huko wilayani Kahama mkoa wa Shinyanga, wao walitembelea na kuona shughuli za uchimbaji madini chini ya ardhi (Underground operations).
Akina mama hao kutka kada mbalimbali za vikundi vya wajasiriamali, wakulima, na viongozi wa dini, walifanya ziara ya kutembeela na kujionea shughuli za uchimbaji madini chini ya ardhi kiasi cha kilomita 2 kutoka uso wa ardhi, walieleza kufurahishwa kwao na kusema hata wao wanaweza.
Pamoja na maeneo waliyoyatembelea, walijionea mashine za kuchironga miamba, pamoja na karakana (gereji) ya kutengeneza magar na mashine zinazotumika kwenye eneo hilo. Ziara hiyo iliwachukua takriban masaa matatu (3), na bila kuchoka walikamilisha  ziara hiyo na wote walikuwa katika hali nzur nay a furaha.
Katika tukio linguine, Mgodi huo ulimpatia kila mshiriki wa ziara hiyo, mche moja wa matunda ili wakapande kwenye maeneo wanayoishi ikiwa ni sehemu ya kampeni ya mgodi kuhifadhi mazingira kwenye maeneo jirani na mgodi huo.
Siku ya wanawake Duniani, huadimishwa Machi 8 ya kila mwaka ili kuelezea changamoto mbalimbali zinazowakabili wanawake na kutafuta majawabu yake.
Mama huyu ambaye ni sister wa kanisa Katoliki, alikuwa miongoni mwa wanawake waliotembelea mgodi huo chini ya ardhi
Ramadhani Chura, (kulia), mchimbaji wa madini chini ya ardhi, akiwapa maelezo akina mama hao umbali wa kilomita 2 kutoka uso wa ardhi.
 Mfanyakazi wa mgodi wa Bulyanhulu akimsaidia mama huyu akuvaa kibuyu cha gesi ya oxygen kabla ya kushuka chini ya ardhi. 

TUpashane Habari Radi online katika Habari zetu Leo UFISADI: MTU TAJIRI BRAZIL AFUNGWA

Ufisadi: Mtu tajiri Brazil afungwa miaka 19
Mtu tajiri zaidi nchini Brazil amehukumiwa kifungo cha miaka 19 jela kwa kushiriki ufisadi.
Mfanyibiashara huyo mashuhuri katika sekta ya ujezi, Marcelo Odebrecht, alipatikana na hatia ya kuhusika katika ufisadi unaohusu viwango vikubwa vya fedha .
Mahakama ya huko inasema kuwa Bw. Odebrecht amepatikana na hatia ya ulanguzi wa pesa , utoaji hongo na pia kuwa na ushirikiano na watu wahalifu.
Aidha Mahakama hiyo imesema Odebrecht alilipa hongo ya hadi dolla millioni 30 kwa kampuni kubwa ya mafuta nchini humo Petrobras,ili apendelewe na kupewa kandarasi.
Amekuwa kizuizini tangu mwezi Desemba.
Makao makuu ya kampuni yake Odebrecht
Kampuni yake ya Odebrecht ndio kubwa zaidi katika kanda ya Amerika ya Kusini ambako inahudumu katika mataifa 21.
Vilevile Odebrecht imewaajiri wafanyikazi katika kanda zima katika sekta ya ujenzi.
Bwenyenye huyo alijiuzulu kutoka kwa kampuni hiyo ilioanzishwa na familia yake na ambako amekuwa akifanyaka. 

Jumatano, 24 Februari 2016

Tupashane Habari College inawatangazia mwaka wa masomo2016


TANGAZO
Uongozi wa chuo cha Tupashane habari college unawatangazia nafasi za masomo kwa muhula wa mwaka 2016 utakao anza mwenzi wa tatu tarehe 1. Kwa ngazi ya certificate na diploma kwa kozi zifuatazo-;-
-Uandishi wa habari na utangazaji wa Radio na tv kwa ngazi ya certificate kwa mwaka mmoja.
-Uandaaji wa vipindi vya Radio na tv ngazi ya certificete kwa mwaka mmoja.
-Uandishi wa habari,utangazaji na uandaaji wa vipindi vya Radio na tv kwa ngazi ya diploma kwa miaka miwili.
Chuo  cha tupashane habari college pia kinatoa kozi kwa muda wa mienzi mitatu.
>Kompyuta,Ujasiriamali,Mafunzo ya lugha ya kingereza na kifarasa,
ushereshaji na udjs.
-Chuo kinamazingira mazuri  na pia kina studio za kisasa za Radio na tv kwa ajili ya kujifunzia,Chuo ni cha kutwa na bweni,Chuo kitalipa gharama ya asilimia tano ya ada kwa wanafunzi wa mwanzo watakao jiunga na chuo.
- Na kwa mwanafunzi anapo hitimu hutafutiwa na chuo magazet,radio,tv na mashirika mbalimbali katika nchi za jumuiya za afrika mashariki kwa ajili ya  kufanya mazoezi kwa vitendo.
-Na kwa mwanafunzi atakae fanya vizuri kwenye mitiani yake na kuonyesha nidhamu, chuo kitamtafutia nafasi za kazi kupitia  taasisi zake,Fomu zetu zinapatikana chuoni tupashane habari college.
-Chuo cha Tupashane Habari college kipo mbuyuni mkabala na zahanati ya bondeni,usisite kuwasiliana nasi kwa namba 0772 044 916,0659 299 837,0758 779 151 na  0756 483 174,Kwa barua pepe; tupashanehabari@gmail.com waweza kuperuzi www.tupashanehabari.blogspot.com


NB; kwa taaluma imara,nijuhudi zetu vijiji kuwa miji.

Jumatano, 17 Februari 2016

MIAKA 30 BAADAYE, MUSEVENI ATAKA MUHULA WA TANO

Rais wa Uganda Yoweri Museveni.

Rais Yoweri Museveni aliwahi kusema kuwa viongozi wanaokaa sana madarakani ndiyo walikuwa chimbuko la matatizo ya Afrika, lakini miaka 30 baadae, Museveni anatazamia kuingia muongo wa nne madarakani nchini Uganda.
"Wale wanaosema, 'aende,' wanahitaji kufahamu kuwa huu siyo wakati sahihi," Museveni alisema wakati wa mmoja ya mikutano yake ya kampeni hivi karibuni kuelekea uchaguzi mkuu wa Februari 18 ambao wengi wanataraji atashinda. "Mzee huyu ameiokoa nchi hii, vipi unamtaka aondoke? Ninaweza kuondoka kwenye shamba la migomba niliopanda na ambayo imeshaanza kuzaa matunda?"
Museveni alifanikiwa kubadilisha katiba mwaka 2005, na kuondoa ukomo wa mihula miwili. Viongozi wengine wa Afrika wamefuata nyayo zake, wakibadili au kurekebisha sheria ili kusalia madarakani, wa karibuni zaidi wakiwa marais wa Burundi Pierre Nkurunziza na wa Rwanda Paul Kagame.
Kwa sasa, Museveni hana nia ya kukabidhishi madaraka kwa mtu yeyote, akipinga ukosoaji wa mataifa wahisani ya magharibi kuhusiana na kukithiri kwa rushwa na hatua za kutoa madaraka makubwa kudhibiti mashirika ya kiraia na yale yasiyo ya kiserikali.
Wakati akiwania kuingia muongo wake wa nne madarakani, Museveni anaednelea kuwa mmoja wa viongozi wajanja na ving'ang'anizi zaidi barani Afrika, sambamba na wengine mifano ya Jose Eduardo dos Santos wa Angola na Teodoro Obiang wa Guinea ya Ikweta (wote wako madarakani tangu 1979), Robert Mugabe wa Zimbabwe (tangu 1989) na Paul Biya wa Cameron (tangu 1982).
Kwa sehemu kubwa, Uganda imekuwa na amani wakati wa utawala wa Museveni. Uasi wa kaskazini, unaoongozwa na kichaa wa miujiza Joseph Kony na kundi lake la Lord's Resistance Army (LRA), ulifurushwa nje ya nchi hiyo muongo mmoja uliyopita na mkono wake imara umezuwia machafuko ya kutumia silaha na ugaidi.
Hali ya uchumi iliboreka na Uganda ilishuhudia ukuaji wa asilimia 7 katika miaka ya 1990 na 2000, ukisukumwa na uwekezaji wa umma katika miundombinu na kufufuka kwa kilimo. Pia aliendesha kampeni yenye ufanisi dhidi ya maradhi ya ukimwi na maambukizi yake

SWEDEN PLEDGES CONTINUED SUPPORT TO EAC PARTNERSHIP FUND

Sweden has pledged to continue supporting the East African Community integration process.

Ambassador Katarina Rangnitt, the Swedish Ambassador to Tanzania and the EAC, said cooperation among the five EAC Partner States was crucial to relations between Sweden and East Africa.

Amb. Rangnitt was speaking when she presented her credentials to the EAC Secretary General, Amb. Dr Richard Sezibera at the EAC Headquarters in Arusha, Tanzania.

Sweden has over the past nine years disbursed generous financial support amounting to 7,225,155 Swedish Kroner (US$851,676) to the EAC, monies that have been channeled through the EAC Partnership Fund.

Welcoming the Swedish envoy, Amb. Dr Sezibera thanked Sweden for her support to the Community over the years noting that the Swedish support has been used for among other things the negotiations of the Economic Partnership Agreements between the EAC and the EU as well as boosting the health sector in the region.

Amb. Sezibera said the Partnership Fund has been used to finance not just the activities of the EAC Secretariat but the Community's specialized institutions such as the Lake Victoria Basin Commission and the Inter-University Council of East Africa.

The Secretary General briefed Amb. Rangnit on the progress of the EAC integration saying the Community had made many achievements since the signing of the Treaty for the Establishment of the EAC on 30th November, 1999.

Amb. Sezibera said the EAC was seeking to ensure that the regional airspace was a unified territory throughout East Africa.

“As we increasingly become an effective Customs Union on the ground, we shall have to do the same for East Africa's Airspace,” he said, adding that you cannot have a Customs Union on the ground only.

The Secretary General said the Community requires a lot of support to facilitate trade in services noting that significant progress had already been recorded in the free movement of goods as enshrined in the Common Market Protocol.

He pointed out other achievements as the reduction of Non-Tariff Barriers to the free movement of goods, the convertibility of the Partner States national currencies and cooperation in the development of infrastructure.

“Our Infrastructure programmes are largely on track. Many of the One Stop Border Posts have been completed, and are being operationalized. I congratulate the Partner States for ratifying the One Stop Border Bill, and the Axle Weight Control Bill. This puts our Community in good stead to strengthen the operations of our Customs Union,” he said.

He disclosed that the EAC Heads of State Summit had agreed on a 10-year Infrastructure Development Strategy which among other things lays emphasis on public-private partnership investments in railways, roads, ports and energy in the region.

Amb. Rangnitt was accompanied by Mr. Ludvig Bontell, the Political and Commercial Affairs attaché at the Swedish Embassy in Dar es Salaam.